Jamii FM

Maadhimisho ya siku ya redio duniani

12 February 2022, 19:37 pm

Na Amua Rushita.

Waandishi wa habari pamoja na asasi za kiraia  kupitia Mradi wa Sauti mpya, wamekutana katika kuadhimisha siku ya redio duniani kwa kuwa na majadala juu ya siku hii inayoadhimishwa kidunia, karibu usikilize kipindi maalumu kutoka hap mkoani mtwara.