Jamii FM

Makala: Nafasi ya wanawake katika Tasnia ya Habari

20 October 2021, 18:48 pm

Makala hii imeandaliwa na Habiba Mpimbita wa Jamii fm radio

Wananwake katika tasnia ya habari na Vyombo vya habari ni makala ambayo imeandaliwa ili kuangalia nafasi yake, Fursa na changamoto zilizopo katika mkoa wa Mtwara.

Karibu katika makala haya ili uweze kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na wanawake katika vyumba vya habari mkoani Mtwara