Jamii FM

Wanufaika na TASAF Lindi waipongeza serikali

26 November 2020, 08:27 am

Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) mtaa wa Jangwani Halmashauri ya manispaa ya Lindi, wameeleza namna walivyonufaika na mradi, wameleeza  maisha ya awali na ya sasa na namna mradi ulivyosaidia familia zao.

Mnufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini ambae ameanzisha mradi wa mbuzi.

Kwa upande wake Afisa mtendaji wa mtaa wa Jangwani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Kelvin Malunda na mkurugenzi wa program na miradi ya jamii Tanzania Bara na Visiwani (TASAF) Amadeus Kamagenge kwa upande wake amempongeza bi Sofia na familia yake kwa kuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia na kuendeleza pesa alizopata ili kujikwamua na umaskini.

Na Gregory Millanzi