Radio Tadio

jamii

20 August 2026, 16:21

Bodaboda waonywa kuacha kujihusisha na uhalifu

Maafisa usafirishaji maarufu kama ‘bodaboda’ wameelekeza lawama hizo kwa bodaboda ambao wamekuwa wakiingia vituo ambavyo si vyao na kufanya kazi hasa nyakati za usiku na kujikuta wakichafua jina la kijiwe hicho kwa kujikuta wakibeba wahalifu. Na Grace Budodi Maafisa usafirishaji…

7 August 2026, 16:41

Ulinzi waimarishwa katika viwanja vya maonesho ya nanenane Dodoma

Katika hatua nyingine, ACP Hyera amewataka wataalamu wa tiba asili kuacha kujihusisha na vitendo vya ramli chonganishi vinavyoweza kusababisha migogoro na kuvuruga amani katika jamii, akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuchukua hatua dhidi ya vitendo vyovyote vinavyohatarisha usalama na…

7 May 2026, 16:32

Ihumwa watakiwa kuripoti matukio ya uhalifu

Aidha amesema watu wa eneo hilo wamekuwa na tabia ya kuto kufuatilia kesi za wizi kutokana na kudai watu wanaofanya matukio hayo ni watu wao wa karibu. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wametakiwa kutumia fursa ya…

5 May 2026, 15:32

Jiji la Dodoma kufunga kamera za ulinzi katikati ya jiji

Katika hatua ya mwisho ya ukaguzi huo, Kamati ya  TAMISEMI ilitoa mapendekezo mbalimbali ya kuboresha utekelezaji wa mradi huo wa usalama wa kidijitali. Na Anwary Shaban. Katika muendelezo wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge TAMISEMI, 2026 , imetembelea…

20 February 2026, 17:58

Ulinzi waendelea kuimarishwa Mtumba na viunga vyake

Aidha ameongeza kuwa Hali hiyo inaweza kuchangia na kusahaulika Kwa majukumu ya kiulinzi na usalama na kupelekea kurejea Kwa matukio hayo. Na Victor Chigwada. Mkuu wa kituo Cha polisi Wilaya ya Mtumba kamanda OCD Issa Chau ameeleza  Hali ya ulinzi…

2 September 2025, 16:43

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi matukio ya utekaji

Na Yussuph Hassan.Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote…

2 July 2025, 10:21

Afariki dunia baada ya kushambuliwa na fisi

Jitihada za kumwokoa hazikufanikiwa. Na Kitana Hamis.Kijana mmoja aitwaye Fredy Peter, mkazi wa Kijiji cha Seleto, Dareda Misheni, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na kundi la fisi . Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,…