Recent posts
27 September 2026, 17:52 pm
Mh. Asha Motto akabidhi viti mwendo kwa wenye mahitaji maalum
Baada ya kufanya ziara na kusikiliza changamoto za wanafunzi wenye mahitaji maalum shele ya Msingi Masasi Hatimae Mbunge Viti maalum Mtwara Mh, Asha Motto ametekeleza ahadi yake Septemba 26,2026. Na Godbless Lucius Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mtwara, Asha…
26 September 2026, 07:09 am
Safari ya Eva Mabula katika kilimo cha mbogamboga-Makala
Makala hii inamuelezea Eva Mabula mwanamke aliyeanzisha kilimo cha mbogamboga kwa ajili ya kuikomboa familia yake mpk sasa kilimo hicho kimekua chanzo kikubwa cha mapato. Eva Mabula, mama mwenye umri wa miaka 40 na watoto watano, amekuwa akijishughulisha na kilimo…
25 September 2026, 21:29 pm
Kutana na Sophia mfinyanzi aliyerithi kwa bibi yake
Na Lilian Martin. Sophia ni mke nani mama pia shughuli anazofanya ni ufinyanzi na anatengeneza vitu mbali mbali Radio fadhila ilifunga safari hadi Chakama kujionea ujuzi ulioridhiwa kutoka kwa bibi. Karibu tumsikilize akitueleza namna anavyoifanya hazi yake na changamoto zipi…
25 September 2026, 11:40 am
Mradi wa maji wawaondolea wananchi hofu ya Mamba Nanyumbu
Mradi mkubwa wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika kijiji cha Masuguru,wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara umeleta mabadiliko makubwa katika maisha ya kila siku ya wananchi. Na mwandishi wetu Akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika mkutano wa hadhara amesema mradi…
23 September 2026, 14:19 pm
Askofu Almasi: Tumemuona Mungu akitupigania kwa miaka 100
Picha ya kanisa la Anglikana Dayosisi ya Masasi imepigwa na Edwin Mpokasye Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Masasi linasherekea maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100Askofu Almasi amesema katika safari ya miaka 100, Dayosisi imepitia “mawimbi” ya matatizo na dhiki, lakini…
22 September 2026, 18:45 pm
Wenye ulemavu waombwa kuchangamkia mikopo ya 2% Masasi DC
Na Godbless Lucius Watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi wamehimizwa kutumia fursa ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi. Kati ya fedha hizo, asilimia 2 imetengwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Watu…
21 September 2026, 13:58 pm
Bi Harusi Afariki Dunia siku ya Ndoa yake
Ni simanzi katika kijiji cha Nambaya ambapo Bi Flaviana Hokororo, 37, amefariki dunia siku ya ndoa yake huku chanzo rasmi cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana. Mashuhuda wanasema hali yake ilibadilika ghafla wakati maandalizi ya ndoa yakiendelea Na Godbless Lucius…
19 September 2026, 15:40 pm
Je, wajua umuhimu wa ustamilivu katika kilimo?
Picha kutoka mtandaoni Karibu kusikiliza makala hii inayoelezea mabadiliko ya hali ya hewa na kwanini ustahimilivu ndio pembejeo muhimu katika kilimo cha sasa. Mtangazaji ni Edwin Mpokasye
17 September 2026, 21:22 pm
Masasi yasisitiza lishe bora kwa maendeleo ya elimu
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imeendelea kuimarisha afua za lishe kwa jamii kwa kukabidhi Watendaji wa Kata vitabu vyenye matokeo ya utafiti wa hali ya lishe katika kata mbalimbali. Vitabu hivyo vimekabidhiwa Septemba 17, 2026, na Mkuu wa Wilaya ya…
14 September 2026, 12:10 pm
Polisi Masasi yawafikia wenye mahitaji maalum
Picha na Godbless lucius Miongoni mwa watu wanaohitaji faraja ya karibu ni watu wenye mahitaji maalumu, hivyo jeshi la Polisi kwa kulijua hilo nimeamua kuwatembelea wanafunzi wenye mahitaji katika shule ya Lukuledi ili kufurahi nao pamoja. Wanafunzi wenye mahitaji maalum…