Radio Fadhila

Yafahamu mengi kuhusu dhamana

22 April 2026, 12:05

Dhamana

Karibu kusikiliza kipindi cha mahakama ambapo leo tupo na Hakimu mkazi mahakama ya mwanzo Lisekese pamoja na Hakimu mkazi mahakama ya mwanzo Lulindi,

Na lilian Martin

katika kipindi hiki cha mahakama kimeangazia kuhusu dhamana na kuangalia maana ya dhamana,aina ya dhamana pamoja na misingi yake karibu tusikilize,

Kipindi cha mahakama
Hakimu mkazi mahakama za mwanzo Lulindi na Lisekese