Recent posts
20 January 2025, 12:45 PM
Mfahamu King Kikii wa kitambaa cheupe na ujuzi wake
licha ya kuwa mwanamuziki mkongwe pia King kiki ni mtunzi,mpangaji mziki na mwenye ujuzi wa ujasiliamali wa muziki.
9 January 2025, 11:25 PM
Redio Fadhila wapigwa msasa uandishi unaozingatia maadili
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika habari kwa kuzingatia maadili ya uandishi ili kuepuka kuingia kwenye matatizo wakati wa uchaguzi mkuu. Na Lilian Martin Mhariri wa radio tadio Hilali Ruhundwa ametembelea kituo cha Radio Fadhila leo Januari 09, 2025 na kutoa…
9 January 2025, 11:48 AM
Mfahamu Morris Nyunyusa na ngoma zake 17
Licha ya kuwa mlemavu wa kutoona Mzee Morris Nyunyusa alikuwa na uwezo wa kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja. Na Asha Mustafa Hii ni makala fupi kuhusiana na mpiga ngoma maarufu marehemu Morris Nyunyusa.
7 January 2025, 10:05 AM
Wanaotarajia kupata mikopo ya 10% wapigwa msasa Masasi
Halmashauri imetoa mafunzo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo kwa ajili ya matumizi bora ya fedha ili kuepusha changamoto wakati wa urejeshwaji wa fedha hizo. Na Lilian Martin. Vikundi 28 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vinavyotarajia kupata mkopo wa…
9 December 2024, 11:20 AM
Askofu wa jimbo la Tunduma awataka watu kumrudia Mungu
Waamini wamekumbushwa kuwa sauti ya matumaini kama Nabii Baruku alivyokuwa sauti ya matumaini na kualikwa ili waweze kubadilika.Hayo yamesemwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la TUNDURU-Masasi, Mhashamu Askofu Filbert Felician Mhasi kwenye homilia ya Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika…
6 November 2024, 12:59 PM
Tuwahamasishe kujitoa kupiga kura kama walivyojiandikisha ifikapo Nov 27, 2024
Na.Lilian Martin Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter Kanoni amewaomba Waheshimiwa Madiwani kuendelea kuwahamasisha Wananchi wajitokeze kupiga kura ifikapo Nov 27, 2024 ili kuwachagua viongozi muhimu wa Serikali za Mitaa wanaowataka. Mhe.kanoni amesema kuwa katika zoezi la uandikishaji kwa Halmashauri…
6 November 2024, 12:34 PM
Madiwani wampongeza DC Masasi kwa uchapa kazi
pichani ni balaza la madiwani Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Masasi limempongeza Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter John Kanoni kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya Halmashauri ya Wilaya Masasi. Wa mhe madiwani wametoa pongezi hizo tarehe…
3 November 2024, 8:22 PM
Ukaguzi wa miradi mbalimbali wafikia jengo la X-ray Chiwale
Pichani ni jengo la X-Ray Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Halmashauri ya Wilaya Masasi katika ziara yake iliyofanya hivi karibuni ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri hiyo imeipongeza Kamati ya Usimamizi wa kituo na Watumishi kwa…
1 November 2024, 6:14 PM
kauli mbiu siku ya lishe Duniani yatekelezwa kwa vitendo
Kwa mwaka , 2024, Mandhari ya Wiki ya Lishe ya Kitaifa kauli mbiu ni ” Lishe Bora kwa Kila Mtu “. Kaulimbiu hii inaweka lengo la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya maendeleo endelevu, ikisisitiza kukuza mlo unaokidhi mahitaji ya lishe ya…
22 October 2024, 12:28 PM
Mafrateli 29 wapewa daraja takatifu la ushemasi
Na Lawrence Kessy. Hayo yamesemwa na Mhashamu Askofu Hendry Mchamungu ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam kwenye Adhimisho la Ibada ya Misa Takatifu ya Daraja Takatifu la Ushemasi kwa Mafrateri 29 iliyofanyika katika Kanisa…