Katibu Tawala Masasi akemea tabia ya kuoana na kuachana baada ya muda mfupi
Katibu Tawala Masasi akemea tabia ya kuoana na kuachana baada ya muda mfupi
2 February 2023, 10:20
KatibuTawalla wilaya ya Masasi Mohamedi Fakiri aliyesimama na kushoto kwake ni Hakimu Mfwadhi Mahakama ya wilaya masasi Batista Kashusha akizungumza na wanainchi wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria nchiniNao wanafunzi hakuwa nyuma katika maadhimisho ya siku ya sheria nchiniViongozi kutoka kadambali pamoja na wafanyakazi wa Mahakama ya wilaya masasi katika picha ya pamoja na Katibu Tawala wilaya ya MasasiWanasanaa nao hawkuwa nyuma katika maadhimisho ya siku sheria nchini