Radio Fadhila

Ufugaji Nyuki chanzo cha utunzaji wa Misitu

21 April 2026, 11:57

Nyuki

Ni katika muendelezo wa kipindi cha ufugaji wa Nyuki ambapo leo tunakwenda kuyasiki mengi zaidi na kutambua namna ya kupata Elimu ya ufugaji nyuki kwa kujiunga katika vikundi

Na mwandishi wetu

Ufugaji wa nyuki ni chanzo kikubwa cha utunzaji wa misitu kwa kuwa shughuli hii hufanyika katika misitu hivyo wafugaji wa nyuki ni moja wa watu wanaotunza misitu ili shughuli zao kuendelea,

Nyuki

Karibu tusikilize Muendelezo wa kipindi

Muendlezo wa kipindi ufugaji nyuki