Radio Fadhila

Bi Sophia ni mfinyanzi aliyerithi Kwa bibi yake

25 September 2026, 21:29 pm

Akituonyesha majiko ya kuku

Na Lilian Martin.

Sophia ni mke nani mama pia shughuli anazofanya ni ufinyanzi na anatengeneza vitu mbali mbali Radio fadhila ilifunga safari hadi Chakama kujionea ujuzi ulioridhiwa kutoka kwa bibi.

karibu tumsikilize akitueleza namna anavyoifanya hazi yake na changamoto zipi anazokutana nazo lakini pia mafanikio kutokana na ufinyanzi

Akionyesha ubora wa kazi yake

sauti utayoisikia ni Sophia akitueleza lakini pia tulizungumza na mume wake ili kujua anamchango Gani katika kuunga mkono kazi ya mke wake

Sophia akitueleza