Radio Fadhila

Kipindi Maalum: NBC Shambani neema kwa wakulima wa korosho

12 October 2026, 18:49 pm

Katika Msimu huu wa Korosho kwa mwaka 2026-2027 Bank ya Nbc imekuja na kampeni ya NBC kiganjani inayotoa fursa kwa mkulima kupata zawadi mbalimbali.

Na Godbless Lucius

Sikiliza kipindi maalum kutoka Radio Fadhila pamoja na Maafisa Kutoka Bank ya NBC tawi la Masasi baada ya uzinduzi wa kampeni yao ya Nbc shambani inayotoa fursa kwa mkulima kushinda Baiskeli,Pikipiki pamoja na mashine ya kufungia mifuko

Sauti ya Mtangazaji Edwini Mpokasye na maafisa kutoka banki ya NBC