Radio Fadhila

Masasi na matumizi ya akili mnemba

27 March 2026, 13:38

Matumizi ya teknologia

Wakati tunafurahia kukua kwa tekinologia na kurahisisha maisha kupitia mitandao ya kijamii yapo madhara yanayojiyokea kutokana na tekinologia hizo pindi zinapotumiwa vibaya.

Na Lilian Martin

Wakati wa kipindi cha Jamii Tunzungumze na Redio Fadhila wadau wameeleza namna wanavyoifahamu AI faida na hasara zake ambapo wengi wameegemea upande wa hasara zaidi ambapo hii usababisha tatizo katika jamii.

Idrisa akizungumza

lakini Upendo alizungumza juu hasara zinazoweza kujitokeza pindi mtu anapoitumia Ai kusambaza habari zisizo na uhalisia kwa lengo la kumchafua Mtu

bado hatukuishia hapo tuliendelea kuzungumza na wadau kuona wanazungumziaje kukua huku kwa tekinoligia.

Akizungumza

Lakin̈i pia Devan yeye hajawahi kuitumia ila kuna namna anavyoyasikia matumizi ya Ai kwa rafiki zake