Radio Fadhila
Radio Fadhila
13 October 2026, 17:01 pm

Hii ni makala ya Fahari yetu kutoka Redio Fadhila inayoangazia Masuala mbalimbali ya kijamii ambapo sehemu ya leo ni Maisha ya ndoa Takatifu katika Familia iliyo bora
Karibu kusikiliza makala ya Fahari yetu iliyoandaliwa na kusomwa na Edwin Mpokasye je kwa namna gani wanandoa wanaweza kuijenga familia takatifu malezi yaliyo meam pamoja na kuendana na mabadiliko ya kijamii na kiuchumi.