Radio Tadio

Kilimo

18 July 2025, 13:11

Kilimo cha mchikichi chaongeza kipato, wakulima Kasulu

 Kilimo cha zao la mchikichi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma kimeanza kuleta mafanikio kiuchumi kwa wakulima, kufuatia usambazaji wa mbegu bora aina ya Tenera. Na Emmanuel Kamangu Wananchi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa ya kilimo…

14 July 2025, 12:39

TAKUKURU yataka wananchi kuripoti vitendo vya rushwa

Wajibu wa wananchi katika kudhibiti rushwa ni muhimu sana ili kuhakikisha kuwepo kwa utawala bora, uwazi, na maendeleo ya kweli katika jamii. Na Timotheo Leonard Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imesema miongoni mwa majukumu…

3 July 2025, 16:06

Walimu watakiwa kufanya tathmini ya mitihani

Ili kupandisha ufaulu kwa wanafunzi, Walimu na Maafisa elimu wameshauri kuffuatilia nakufanya tathimini kwa wanafunzi waliofanya vibaya mitihani yao. Na Emmanuel Kamangu Maafisa elimu kata na walimu wakuu wa shule za msingi Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kufanya tathmini…

2 July 2025, 16:01

BoT yataka wakulimu kutohifadhi fedha ndani

Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kuzingatia matumizi na utunzaji bora wa fedha. Na Mwandishi wetu Uvinza Wakulima Mkoani Kigoma wametakiwa kuachana na utamaduni wa kuhifadhi fedha ndani na badala yake kutumia huduma za kibenki ili…

26 June 2025, 16:12

Jamii imeaswa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini, inayomzuia mtu kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake tofauti na watu wengine lakini watu wenye ulemavu wakiwekewa mazingira rafiki kulingana na hitilafu zao wanaweza kutimiza majukumu yao kama…

24 June 2025, 15:52

Wahitimu VETA Kasulu watakiwa kuwa wabunifu

Serikali na wadau wa maendeleo wameendelea kuwahimiza vijana kuwa wabunifu ili waweze kujiajiri kupitia bunifu mbalimbali. Na Hagai Ruyagila Wahitimu wa mafunzo ya ushonaji wa vazi maalumu la kulinia asali na teknolojia ya umeme jua katika chuo cha Veta Kasulu…