Radio Tadio

Kilimo

16 November 2023, 1:08 pm

Chai yenye ubora chachu ongezeko la bei

Imetajwa kuwa ongezeko la bei ya chai sokoni inategemea ubora wa majani mabichi ya chai kwani huzalisha majani makavu yenye kiwango kizuri hali inayopelekea kuuzwa kwa bei nzuri katika soko la kimataifa.      Na Sabina Martin: Rungwe-Mbeya Kufuatia kuzinduliwa kwa mnada…

12 November 2023, 12:18

Wakulima Kibokwa watakiwa kupisha uwekezaji

Picha ya waziri wakilimo na umwagiliaji Shamata Shame (aliye nyoosha kidole)akiwa katika kikao na wakulima wa bonde la mpunga kibokwa. Na Abdul – Sakaza. “Ushirikishwaji kati ya serekali na wakulima katika harakati za kimaendeleo kutasaidia kutatua changamoto mbalimbali hasa linapokuja…

8 November 2023, 20:10

Wakulima Kagera watakiwa kupanda miti ya matunda kwa wingi

Na Jovinus Ezekiel Serikali mkoani Kagera imepongeza jitihada zinazoendelea kutekelezwa na taasisi ya KADERES inayohudumia wakulima katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kwa kuanzisha mafunzo ya kilimo na uzalishaji wa miche ya miti rafiki kwa mazingira kwa ajili ya kuendeleza…

31 October 2023, 11:49

Wakulima Wagomea mbolea ya Ruzuku

Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Chinangali 2 Mkoani Dodoma wamegoma Kujisajili kuchukua mbolea za ruzuku zinazotolewa na Serikali kutokana na kile wanachodai zinaua Mashamba yao. Hayo yamebainika baada ya Dodoma Tv kufika eneo hilo na kuzungumza…

31 October 2023, 11:21

Wakulima wa mpunga Bahi wailalamikia tume ya umwagiliaji

Wakulima hao wanasema pamoja na kufuatilia kwa muda mrefu, bado tume ya umwagiliaji  haijaonyesha ushirikiano katika kutatua kero hiyo. Na.  Bernad Magawa Wakulima wa mpunga wilayani Bahi Wameilalamikia tume ya umwagiliaji kwa kushindwa kuwarekebishia miundombinu ya kilimo kwa miaka miwili…