Kilimo
28 August 2026, 14:52
Wananchi Titye Kasulu waanza ujenzi wa shule mpya ya msingi
Shule mpya inapunguza changamoto za umbali na msongamano, na hivyo kutoa mazingira bora yanayoweza kuongeza mahudhurio, ushiriki na ufaulu wa wanafunzi Na Emmanuel Kamangu Wananchi wa Kijiji cha Titye, Kata ya Titye, Wilaya ya Kasulu, wameanza ujenzi wa shule mpya…
27 August 2026, 11:58 pm
Machinga Wilaya ya Hai Mbioni kupata Ofisi
Wafanyabiashara wadogo marufu machinga na wale wote wenye mitaji kuanzia sifuri hadi milion 4 wilaya ya Hai mbioni kupata ofisi inayojengwa kwa zaidi ya milioni 43. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Katibu Mkuu wa Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Kilimanjaro, Willy Stivin…
27 August 2026, 14:25
Wazazi wakabidhi madawati 100 kwa wanafunzi shule ya msingi Titye Kasulu
Kutengeneza madawati huwasaidia wanafunzi kupata sehemu nzuri ya kukalia wakati wa masomo badala ya kukaa sakafuni, wanafunzi hukaa kwenye madawati na hivyo kuwa tayari kujifunza Na Emmanuel Kamangu Wazazi na walezi wa shule ya msingi titye kata ya titye Halmashauri…
26 August 2026, 15:54
Cambridge shire yasisitiza malezi bora kwa watoto Kigoma
Malezi bora ya watoto ni jambo muhimu katika maisha ya kila mtoto na malezi huanzia nyumbani kwa huhusisha namna wazazi au walezi wanavyomlea, kumlinda, kumfundisha au kumpa mahitaji muhimu, mtoto anayepata malezi bora huwa na nafasi kubwa ya kukua akiwa…
11 August 2026, 13:18
Wanafunzi wa kike 50 wapatiwa vifaa vya shule Kasulu
Watoto wa kikie wanatakiwa kuwekewa mazingira weshezeji kwa ajili kusoma na kutimiza ndoto zao. Na Hagai Ruyagila Taasisi ya Shukrani Foundation imetoa vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa wasichana 50 wa shule za msingi na Sekondari…
4 August 2026, 10:43
Kasulu yapata 100% ya ufaulu kidato cha sita 2026
Kwa matokeo hayo ya asilimia 100 ya ufaulu wa kidato cha sita, Halmashauri ya Mji Kasulu inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya elimu na kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla Na…
31 July 2026, 7:37 pm
Jamii yatakiwa kuthamini maziwa ya mama kwa mtoto
Ikiwa Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani yanaanza kesho Agasti mosi jamii Wilayani Babati mkoani Manyara imehaswa kuzingatia umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto kwa kutambua umuhimu wa kumnyonyesha mtoto pindi anapozaliwa kwa wakati na ulio sahihi . Na…
16 July 2026, 15:37
Vijana Kasulu wapata ujuzi ufugaji wa samaki na uchakataji
Vijana ni nguvu kazi muhimu katika maendeleo ya taifa na ili waweze kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi, wanahitaji elimu na ujuzi unaowawezesha kujiajiri na kuanzisha shughuli za uzalishaji Na Hagai Ruyagila Jumla ya vijana 43 kutoka wilaya tatu za Mkoa…
15 July 2026, 09:02
Enabel yakabidhi madarasa yanayohamishika Kasulu
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na kupitia elimu, jamii hupata maarifa, ujuzi na maadili yanayochangia maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, utekelezaji wa miradi ya elimu unahitaji rasilimali nyingi, utaalamu na ushirikiano…
9 July 2026, 13:33
UNHCR yakabidhi rasmi majengo ya chuo cha ufundi Maloregwa Kibondo
Kupokelewa kwa majengo ya Chuo cha Ufundi Maloregwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea maendeleo ya elimu na uchumi wa wananchi wa wilaya hiyo. Na…