Radio Tadio

Kilimo

29 November 2023, 22:53

Strobeli yawageuza lulu wakulima wilayani Rungwe

Baadhi ya wakulima wa zao la strobeli wilayani Rungwe.Picha na James Mwakyembe Tathmini ya kuangazia mafanikio ya zao la Strobeli wilayani Rungwe yamefanyika yakiongozwa na msemaji wa shirika lisilo la kiserikali Shoma Nangale.Na Nsangatii Mwakipesile Baada ya kutambulishwa rasmi kwa…

29 November 2023, 3:21 pm

Historia ya kilimo cha Zabibu

Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili. Na Yussuph Hassan. Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na…

28 November 2023, 11:49

Kyela walia na mkandarasi wa mradi wa umwagiliaji Makwale

Baada ya kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mradi wa umwagiliaji wa Makwale hapa wilayani Kyela wananchi wanaunda kata za Makwle,Ndobo na Lusungo wameiomba serikali ya halmaashsuri ya wilaya ya kyela kuingilia kati kukamilika kwa mradi huo.Na Nsangatii Mwakipesile Kutokana na…

27 November 2023, 12:42 pm

Wizara ya kilimo yafanya tathmini utoshelevu wa chakula nchini

Amesema moja ya changamoto inayokwamisha upatikanaji wa masoko ya uhakika nje ya nchi ni kukosekana kwa tija hii inasababishwa na kutokidhi viwango vinavyotakiwa kuanzia kweye ubora,wingi,mabadiliko ya bei sokoni na kuhakikisha kuwa muda wote tunasambaza bidhaa masokoni. Na Alfred Bulahya.…

18 November 2023, 12:44 pm

Uzinduzi wa msimu wa kilimo biashara mkoa wa Mtwara

Wadau wa kilimo kila mmoja anawajibika katika kutekeleza majukumu yake ili kufikia malengo tuliyojiwekea kama mkoa ikiwepo kuondoa changamoto zinazowakabiri wakulima Na Musa Mtepa Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abasi Novemba 17, 2023 amefanya uzinduzi wa msimu wa…

16 November 2023, 1:08 pm

Chai yenye ubora chachu ongezeko la bei

Imetajwa kuwa ongezeko la bei ya chai sokoni inategemea ubora wa majani mabichi ya chai kwani huzalisha majani makavu yenye kiwango kizuri hali inayopelekea kuuzwa kwa bei nzuri katika soko la kimataifa.      Na Sabina Martin: Rungwe-Mbeya Kufuatia kuzinduliwa kwa mnada…