Radio Tadio

Kilimo

12 October 2022, 3:56 pm

wakulima wilayani Rungwe wametakiwa kutumia mbolea kwa usahihi

RUNGWE-MBEYA NA:SABINA MARTIN Kuelekea madhimisho ya siku ya mbolea duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo octoba 13 wakulima wilayani hapa wametakiwa kutumia mbolea kwa usahihi ili kupata mazao mengi. Akizungumza kwa njia ya simu na Chai FM  afisa kilimo wilayani…

16 September 2022, 4:37 am

Wakulima Watakiwa Kuendelea Kujiandikisha na Ruzuku ya Mbolea

MPANDA Wakulima Kata ya makanyagio wametakiwa kuendelea kujiandikisha katika maeneo wanayofanyia shughuli za kilimo ili kunufaika na ruzuku ya mbolea iliyotolewa na serikali. Akitoa ufafanuzi huo wakati akizungumza na mpanda radio fm mtendaji wa kata hiyo Dolnad Edward amesema serikali…

12 September 2022, 5:26 pm

Bei ya ndizi kushuka kilio kwa wakulima

RUNGWE-MBEYA, NA:LOVENESS RAJABU Wafanyabiashara wa ndizi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameeleza bei ya ndizi kwa kipindi hiki cha kiangazi. Wakizungumza na Chai FM wafanyabiashara wa ndizi katika soko la Mabonde wamesema kuwa kwa sasa bei ya ndizi ipo chini…

9 September 2022, 9:51 am

wakulima elfu 17 tayari wamesajiliwa Mbolea ya ruzuku

RUNGWE-MBEYA NA:LETHISIA SHIMBI Wakulima wilayani rungwe Mkoani mbeya wametakiwa  kufuata taratibu  wa kujisajili  kwenye mfumo Ili kuweza kupata Ruzuku za pembejeo. Akizungumza na kituo Chai FM  afisa kilimo wilayani  hapa JUMA MZARA amesema katika halmashauri ya Rungwe wamesajiri wakulima elfu…

5 September 2022, 10:51 am

Kizungumkuti Viwatilifu Vya Korosho

Wananchi wa kijiji cha Isinde kata ya Mtapenda Halimashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamelalamikia kutopewa viwatilifu  kwaajili ya zao la korosho  licha ya kuwa wakulima wa zao hilo zaidi ya miaka mitano. Wakizungumza na kituo hiki wakulima hao wamesema kuwa …

5 May 2022, 14:00

Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa Mbaazi

Na; Leonard Mwacha. Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutambua umuhimu wa zao la mbaazi kuwa lina manufaa makubwa katika matumizi mbalimbali pamoja na biashara. Wito huo umetolewa na, Mkurugenzi wa  wa asasi siyokuwa ya serikali SEIDA Bw. Fredrick Ogenga, kupitia warsha…