26 January 2021, 11:40 am

Ifahamu nuru fm kwa ufupi

Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa…

On air
Play internet radio

Recent posts

4 October 2024, 3:51 pm

Viongozi wa dini wazuru hifadhi ya Taifa Ruaha

Na Adelphina Kutika Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na ulinzi wa mazingira. Haya yanajiri kufuatia  ziara ya viongozi October  3  2024…

1 October 2024, 9:57 am

Asas: Vijana tumieni mitandao kuyasemea mazuri ya Rais

Na Adelphina Kutika Vijana wa Uvccm mkoa wa Iringa wametakiwa  kutumia  mitandao ya kijamii  kuzungumza mazuri yanayofanywa serikali na serikali ya awamu ya sita. Agizo hilo limetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Asas,wakati…

27 September 2024, 8:47 pm

Serukamba: Jitokezeni kujiandikisha daftari la wapiga kura

Na Hafidh Ally Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi  kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura  Kuelekea  uchanguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwezi November mwaka  huu. Akizungumza na waandishi wa habari ofsini kwake Mkuu wa Mkoa wa…

26 September 2024, 9:49 am

DC Kheri: Lindeni rasilimali za chuo cha VETA Pawaga

Na Joyce Buganda Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James amewasihi wananchi Wilayani Iringa kuhakikisha wanalinda rasilimali zilizowekwa katika chuo cha ufundi stadi (VETA) kilichopo Pawaga wilaya ya iringa. Kheri James ameyasema wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya chuo hicho…

26 September 2024, 9:45 am

Bilioni 1.6 kujenga shule ya elimu ya amali Mafinga Mji

Na Hafidh Ally Zaidi ya shilingi bilioni 1.6 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari ya Umma inayotoa elimu ya Amali (Ufundi) katika kata ya Changarawe Halmashauri ya Mafinga Mji mkoani Iringa. Hayo yamezungumzwa na  Mkuu…

24 September 2024, 10:25 am

RC Serukamba aagiza Afisa Manunuzi Iringa DC kusimamishwa kazi

Na Ayoub Sanga Na Hafidh Ally Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh Peter Serukamba amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Iringa kumsimamisha kazi Afisa manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kusimamia kitengo chake na kupelekea miradi inayotekelezwa katika…

24 September 2024, 9:46 am

Bilioni 142 kujenga barabara ya Iringa kwenda hifadhi ya Taifa ya Ruaha

Na Godfrey Mengele Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mkataba wa ujenzi wa kiwango cha lami wa barabara ya Iringa – Msembe yenye urefu wa kilometa 104 inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ikijengwa na mkandarasi (CHICO Limited).…