Nuru FM

Recent posts

25 Oktoba 2022, 4:05 um

Bodi Ya Sukari Yaanza Mkakati Wa Kuongeza Uzalishaji

BODI ya Sukari Tanzania imeanza mikakati ya kuongeza uzalishaji wa sukari nchini ili kukabili na uhaba wa bidhaa hiyo ambapo wanatarajia ifikapo mwaka 2025/2026 uzalishaji wa sukari utaongezeka hadi kufikia tani laki 756. Hayo yamesemwa leo Oktoba 25,2022 jijini Dodoma…

25 Oktoba 2022, 4:02 um

Mikoa Mitano Yaongoza Kuwa Na Laini Za Simu Zinazotumika

Ripoti ya Utendaji wa Kisekta imeonesha ongezeko la asilimia 3.4 kwa laini za simu zinazotumika, ambapo hadi mwezi Juni 2022 kulikuwa na laini Milioni 56.2 idadi iliyoongezeka hadi kufikia laini milioni 58.1 Septemba 2022. Takwimu zinaonyesha kwamba mikoa mitano nchini…

23 Oktoba 2022, 9:47 mu

Onesho La S!Te 2022 Kufungua Fursa Za Utalii

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar es Salaam ni fursa kubwa kwa jijini hilo kutangaza vivutio vyake. Amesema kuwa Jiji la Dar…

23 Oktoba 2022, 9:40 mu

Wananchi 112,669 Iringa Wamepata Chanjo Ya Uviko 19

JUMLA ya wananchi 112,669 wamepata chanjo ya UVIKO 19 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo ni sawa asilimia 91ya walengwa ambao ni 123,418 kwa lengo kulinda afya za wananchi wasipatwe na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza wakati wa…

13 Oktoba 2022, 5:43 mu

EBOLA: Tuchukue Tahadhari Sahihi

Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.