Nuru FM

Recent posts

21 July 2026, 10:22

Wananchi walalamikia kushuka kwa bei ya mazao

Wananchi wameeleza kuwa gharama za mbolea zimeendelea kupanda na kuwa mzigo mkubwa kwa wakulima huku wakilalamikia kuhuka kwa bei za mazao. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kata ya Ulanda, Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, wamelalamikia kushuka kwa bei za mazao…

21 July 2026, 08:50

RC Kheri aagiza ununuzi wa bidhaa za ndani

RC Khei amesena kuwa matumizi ya bidhaa za ndani yataongeza kipato cha wazalishaji, kuchochea uundaji wa ajira, kuimarisha biashara na kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya Mkoa wa Iringa. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James,…

17 July 2026, 09:26

Maonesho ya Nanenane kufungua fursa Iringa

Maonesho hayo, yanayofanyika kwa mara ya kwanza kwa ngazi ya mkoa, yanatajwa kuwa hatua muhimu ya kusogeza huduma karibu na wakulima, wafugaji na wavuvi, badala ya kulazimika kusafiri umbali mrefu kuhudhuria maonesho ya kanda. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa…

16 July 2026, 09:21

CCM Iringa yaridhishwa na skimu ya umwagiliaji

Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji ya Mkombozi uliopo Tarafa ya Pawaga, Wilaya ya Iringa, utapanua eneo la umwagiliaji kutoka ekari 4,500 zilizokuwa zikitegemea mifereji ya asili hadi ekari 15,000, huku uzalishaji wa mpunga ukitarajiwa kuongezeka kutoka wastani wa tani mbili…

15 July 2026, 10:58

Ngajilo aagiza walemavu wasifichwe kupata elimu

Watoto wenye ulemavu wana uwezo wa kufikia mafanikio makubwa endapo watapata nafasi ya kusoma na kulelewa katika mazingira yanayowawezesha kutumia vipaji vyao. Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Fabiani Ngajilo, amewataka wazazi na walezi kuacha tabia…

15 July 2026, 10:32

CCM yakagua mradi wa hewa tiba Mafinga Mji

Mtambo huo utawezesha upatikanaji wa hewa tiba kwa wakati, kupunguza gharama za ununuzi na usafirishaji wa oksijeni kwa wagonjwa Mafinga Mji. Na Hafidh Ally Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa imeridhishwa na…

14 July 2026, 09:42

Vijana Kilolo watakiwa kutumia chuo cha Veta kujiajiri

Kamati ya Siasa Mkoa wa Iringa imekagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Kilolo kinachojengwa kwa gharama ya Sh bilioni 1.6 kupitia fedha za mapato ya ndani ya Serikali. Na Hafidh Ally Vijana Halmashauri ya Wilaya ya…

13 July 2026, 10:21

Kiswaga akabidhi mifuko 100 ya saruji Magunga

“Nitaendelea kuwaunga mkono wananchi ili kuhakikisha miradi muhimu inakamilika kwa wakati na kuleta huduma bora kwa jamii” Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Mhe. Jackson Kiswaga, ameendelea kuunga mkono juhudi za wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo…

9 July 2026, 08:55

Mbunge achangia mbao jengo la mama na mtoto Lumuli

Katika kusukuma mbele utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kutatua changamoto zinazowakabili, Mbunge Kiswaga ameendelea kutimiza ahadi zake katika jimbo la Kalenga. Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, amechangia mbao zenye thamani ya shilingi milioni 1.17…

4 July 2026, 09:40

Kiswaga atoa mabati 55 kukamilisha ujenzi wa darasa Mlandege

Mabati hayo ni nyongeza ya mchango alioutoa awali katika mradi huo baada ya tathmini kubaini kuwa yaliyokuwepo hayakutosha kukamilisha ujenzi wa darasa hilo. Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Mhe. Jackson Kiswaga, ameendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuboresha…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.