Recent posts
8 August 2026, 10:15
Makala:Ukatili wa kiuchumi dhidi ya wanawake Iringa
Makala hii inaelezea aina nyingine ya ukatili wa kiuchumi dhidi ya wanawake jambo linalohatarisha wanawake kuwa tegemezi. Na Hafidh Ally na Joyce Buganda Nuru FM imekuandalia makala hii maalum Kuangazia changamoto za ukatili wa kiuchumi ambazo wanawake wanakutana nazo na…
7 August 2026, 10:15
Wananchi Kalenga walalamikia gharama kubwa za vibali vya ujenzi
Na Hafidh Ally Wananchi wa Kata ya Ulanda, Jimbo la Kalenga, wameilalamikia Halmashauri kwa kutoza gharama ya shilingi 50,000 kwa ajili ya kibali cha ujenzi, wakisema kiwango hicho ni kikubwa na kinawazuia kujenga nyumba za kisasa. Wakizungumza na Nuru FM,…
2 August 2026, 10:33
Ihongole kuweka historia ya kupata huduma ya maji kwa mara kwanza
Mradi huo Utaenda kuondoa changamoto ya Maji kwa wananchi wa Mtaa wa Ihongole. Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Ihongole, Uliopo Kata ya Boma katika Halmashauri ya Mji Mafinga, wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada…
29 July 2026, 09:50
Baraza la Wazee laipongeza Iringa kwa kudhibiti ukatili
Viongozi hao wametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo husika kutoa taarifa mapema kuhusu vitendo vya ukatili. Na Hafidh Ally Baraza la Ushauri la Wazee Mkoa wa Iringa limesema mkoa huo unaendelea kushuhudia mafanikio katika mapambano dhidi ya ukatili…
28 July 2026, 10:28
Wananchi Mtwango kunufaika na jengo la mama na mtoto
Serikali inaendelea kuwekeza katika kuboresha miundombinu ya afya ili kusogeza huduma bora karibu na wananchi na kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma nchini. Na Hafidh Ally Zaidi ya wananchi 17,000 wanatarajiwa kunufaika na ujenzi wa jengo la huduma za mama…
28 July 2026, 09:52
RC Kheri awataka watumishi wapya kuzingatia maadili
Mhe. Kheri amewahimiza watumishi hao kuwa waadilifu katika matumizi ya rasilimali za umma, kuwajibika kwa matendo yao na kuendelea kujiimarisha kiuchumi kupitia matumizi sahihi ya kipato chao ili kujenga maisha yenye utulivu na kuongeza tija katika utendaji wao wa kazi.…
25 July 2026, 16:54
Wananchi Ugute wakosa huduma ya maji mwezi mzima
Wananchi hao wameiomba Serikali kusogeza karibu vituo vya kuchotea maji ili kuwaondolea adha ya kutembea umbali mrefu kufuata maji, jambo ambalo limekuwa likiwaathiri zaidi wanawake na watoto. Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kijiji cha Ugute, Kata ya Isalavanu katika Jimbo…
25 July 2026, 16:45
PJT-MMMAM yataka baba kushiriki katika malezi ya Mtoto
Miongoni mwa mikakati iliyowekwa ni kuhakikisha baba anapata nafasi stahiki katika malezi ya watoto. Na Adelphina Kutika Wataalamu wanaotekeleza Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) katika halmashauri zote tano za Mkoa wa…
23 July 2026, 10:30
Wananchi Ulanda waomba kukarabatiwa barabara
Wananchi wa Kata ya Ulanda wamesema kuwa barabara inayounganisha Kata ya Ulanda na maeneo jirani haijaimarishwa kwa kujengwa makaravati. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kata ya Ulanda, Jimbo la Kalenga, Wilaya ya Iringa, wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya barabara za…
22 July 2026, 09:01
Ugute walalamika mwekezaji kupewa hekta 400 za ardhi kimyakimya
Wananchi wa Kijiji cha Ugute wametaka mchakato wa kupatikana kwa mwekezaji kuwekeza kijijini kwao usitishwe ili washirikishwe. Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kijiji cha Ugute, Kata ya Isalavanu, Halmashauri ya Mji Mafinga, wamelalamikia uamuzi wa uongozi wa kijiji hicho wa…