Nuru FM

Ubovu wa miundombinu

11 February 2021, 1:54 pm

Madereva Bajaji manispaa ya iringa wamelalamika ubovu wa miundombinu ya barabara hasa katika kipindi hiki cha mvua jambo linasosababisha vyombo vyao kuharibika.Hapa nakutana na Madereva hao wa Pikipiki za Matairi matatu maarufu kwa jina la Bajaji, wanazungumza jinsi ubovu wa barabara inayopeleka abiria Kata ya Kihesa ambao wanatumia barabara ya Kleruu.

Ripoti ya dorice olambo

Changamoto hiyo inanikutanisha na Abiria wanaotumia usafiri huo maarufu hapa Manispaa ya iringa kujua wao wanaathirika vipi na ubovu wa barabara