Nuru FM

Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili

7 December 2020, 5:14 pm

Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bashir Muhoja amesema   matukio ya ukatili dhidi ya wanaume yamekuwa yakiongezeka lakini wanaume wamekuwa wagumu kuripoti katika vyombo husika

BASHIR MHOJA MKURUGENZI  HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA