Nuru FM

uchaguzi yanga warudishwa nyuma siku moja

4 July 2022, 3:40 pm

KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imeitudisha nyuma kwa siku moja Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kutoka Julai 10 hadi 9, mwaka huu.


Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Mchungahela amesema sababu za kurudisha nyuma uchaguzi huo ni kupisha sikukuu ya Eid El Haj.