Nuru FM

Makala: Umuhimu wa madawati ya ukatili wa jinsia shuleni

16 October 2026, 12:04

Cover ya kipindi cha Wakati ni sasa kinachoruka hapa Nuru FM Radio. Na Chacha Robert

Wanafunzi wanaeleza kuhusu uelewa wao wa umuhimu wa Madawati ya jinsia, changamoto wanazokutana nazo na umuhimu wa kuwa na sehemu salama ya kutoa taarifa wanapokumbana na ukatili.

Na Hafidh Ally na Joyce Buganda

Nuru FM imekuandalia makala hii maalum Kuangazia namna madawati ya jinsia yanavyosaidia kukabiliana na changamoto za ukatili kwa wanafunzi katika mazingira ya shule.