
Ukatili

19 May 2023, 8:09 pm
CCM Katavi yakemea ukatili kwa watoto
KATAVI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] mkoa Katavi imeeleza kuwa vitendo vya ukatili wa watoto vinavyoendelea kujitokeza vinachangiwa na utumikishaji wa watoto katika shughuli za ujasiriamali pamoja na utelekezaji wa familia . Hayo yamebainishwa na katibu wa…

17 May 2023, 3:37 pm
Mwili wa Kichanga waokotwa katika dampo la taka Iringa
Na Ansgary Kimendo Mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na miezi tisa umekutwa ndani ya mfuko katika dampo lililopo eneo la kihesa sokoni kata ya Kihesa manispaa ya Iringa asubuhi ya leo. Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya wakazi wa eneo…

5 May 2023, 5:10 am
Ulawiti na Ushoga Wapingwa Vikali
MPANDA Jamii Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imetakiwa kuendelea kupinga vitendo vya ulawiti na Mapenzi ya jinsia moja sambamba na kuwapa malezi bora watoto wao ili waendelee kuwa na maadili mazuri. Hayo yamejiri katika kikao cha baraza la madiwani ambapo…

28 April 2023, 1:42 pm
Watoto waaswa kutoa taarifa wakifanyiwa ukatili wa ubakaji
Ili kukomesha vitendo vya kikatili vya ubakaji viongozi na wananchi wanatakiwa kuungana kwa pamoja ili kupinga vitendo hivyo kwa kuwa vinachangia kudhorotesha ndoto za watoto na wengine kupata mimba za utotoni. Watoto kwa bahati mbaya mkifanyiwa ukatili huo toeni taarifa…

11 April 2023, 7:41 pm
Polisi Iringa wamshikilia Baba aliyemlawiti mwanaye wa kumzaa.
Mkazi wa Nzihi anakamatwa na polisi kwa kosa la kumlawiti mtoto wake wa kumzaa. Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linamshikilia Aman Martin Mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya wilaya ya iringa kwa tuhuma za kumlawili…

4 April 2023, 5:51 am
Mtoto wa Siku 14 Atelekezwa Mlangoni
KATAVI Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku 14 amekutwa ametupwa kwenye mlango wa nyumba ya Jenifa Donald mkazi wa Tambukareli mtaa wa Shauritanga Manispaa ya Mpanda. Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumza na Mpanda radio wamebainisha kuwa mtoto huyo…

22 March 2023, 9:09 am
Usiri ndani ya familia chanzo cha ukatili Iringa
Katika kukabiliana na matukio ya ukatili katika jamii, usiri umetajwa kusababisha matukio hayo kukithiri. Na fabiola Bosco Usiri ndani ya familia umetajwa kuwa sababu ya ongezeko la vitendo vya ukatili wa kingono na vipigo kwa watoto mkoani Iringa licha ya…

16 March 2023, 4:51 pm
Jamii yatakiwa kuwa na muamko wa kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia
Nini kifanye ili kutoa mwamko kwa jamii hasa kuanzia ngazi za familia na mitaa katika kuripoti matukio ya ukatili. Na Fred Cheti Jamii yatakiwa kuona umuhimu wa kushiriki katika kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia yanayotokea katika maeneo yao. Hayo…

10 March 2023, 3:39 pm
Mitandao yachangia ukatili wa kijinsia kwa vijana balehe
Profesa huyo ameiomba serikali kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo huku akipendekeza kutungwa kwa kanuni zenye mlengo wa kijinsia zitakazotoa ulinzi maalum kwa watoto wa kike na wanawake dhidi ya ukatili wa mtandaoni. Na Zania Miraji. Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 4…

9 March 2023, 1:18 pm
Wananchi Wafunguka Kichanga Kutupwa Chooni
NSIMBO Baadhi ya wananchi wametoa maoni mseto kutokana na tukio la mtoto mchanga kutupwa katika shimo la choo kitongoji cha Isagala kijiji cha Uruwila Hamshauri ya Nsimbo Mkoani Katavi. Wakizungumza na Mpanda Redio Fm kwa nyakati tofauti wameviomba vyombo vya…