Nuru FM

Mbabe wa simba apigwa na Yanga

7 December 2020, 10:16 am

Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema ameridhika na kiwango cha timu yake, lakini hajaridhika na idadi ya magoli waliyopata