Radio Tadio

michezo

14 April 2025, 2:05 pm

Asingizia kulawitiwa kisa ugumu wa maisha

Na Said Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia mtuhumiwa Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) Mdigo wa Iringa kwa kosa la kutoa taarifa za uongo.Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Madema , Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa…

8 March 2025, 11:49 am

Wananchi walalamika kichaka kugeuzwa dampo Geita

Licha ya jitihada zinazofanywa na uongozi wa manispaa ya Geita wa kuweka mazingira safi na salama, bado baadhi ya wananchi wameendeleza tabia ya utupaji taka kiholela katika mazingira yasio rasmi. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa mtaa…

7 March 2025, 11:54 pm

TPF-NET watoa mafunzo kwa askari wanawake

Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake Na Angel Munuo Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake ambayo yatawasaidia kupambana na ukatili wa kijinsia pamoja na…

7 March 2025, 09:43

NEMC yagawa miti kwa shule tano Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imeaswa kuwa na desturi ya kupanda miti ili kusaidia kuendelea kutunza mazingira na kupunguza mabadiliko ya tabianchi. Na Timotheo Leonad Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Kanda ya Magharibi, imegawa miti zaidi ya…

4 February 2025, 10:53

Madereva wanaopaki maroli pembezoni mwa barabara kushushiwa rungu

Madereva wa maroli katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu wametakiwa kuzingatia sheria na kuacha kupaki magari yao pembezoni mwa barabara. Na Emmanuel Kamangu Baraza la madiwani  halamshauri ya mji wa Kasulu limemuagiza mkurugenzi wa mji kasulu kuhakikisha anawashugulikia madereva wote…

22 January 2025, 2:59 pm

Wananchi walalamikia utupaji wa taka holela Geita

Baadhi ya wananchi wamelalamikia hali ya umwagaji taka holela  katika dampo lililopo mkabara na barabara itokayo manispaa ya Geita kuelekea Nzera mkoani Geita. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi hao wakiwa katika eneo la dampo wamezungumza na Storm FM Januari…

20 January 2025, 11:44

Wakuu wa kaya watakiwa kujenga vyoo bora

Ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya inatajwa kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Na Michael Mpunije Wakuu wa kaya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga vyoo bora na kuzingatia kanuni za…

15 January 2025, 12:34

DC Kasulu ataka ufuatiliaji usalama wa mazao ya chakula

Kutokana na umuhimu wa chakula kwa maisha ya binadamu, ustawi na maendeleo ya nchi, suala la kuhakikisha kuwa chakula ni salama kwa matumizi ya binadamu linapewa kipaumbele na kuzingatiwa kikamilifu kwa lengo la kulinda afya ya walaji na  kuwezesha utoshelevu…