Nuru FM

Ukosefu wa umeme wakwamisha shughuli za kiuchumi Mtalagala

6 May 2024, 9:01 pm

Picha ya Nguzo za kupitisha umeme

Wananchi wa mtaa wa Mtalagala kata ya Nduli Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme kili kurahisisha shughuli za uchumi na ukuaji wa mtaa huo.

Na Azory Orema

Wananchi hao wamesema kuwa wamechokwa kudanganywa na viongozi wao ambao wamekuwa wakitoa ahadi ambazo hazitekelezwi.

MWANAHABARI WETU AZORY OREMA ANA TAARIFA KAMILI………………….