Nuru FM

Makala kuhusu ukosefu wa maji kijiji cha Mawambala

7 March 2024, 2:55 pm

Wananchi Wilaya ya Kilolo wakiwa katika utafutaji wa huduma ya Maji. Picha na Fabiola Bosco

Wananchi wa Kijiji cha Mawambala Kilichopo Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wanatumia maji ya kisima yanayohatarisha afya zao.

Na Hafidh Ally