Nuru FM

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala

29 November 2023, 9:15 am

Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa.

Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo