

26 April 2023, 12:07 pm
Wananchi wa kijiji cha Makifu kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa wanakabiliwa na janga la ukame kutokana na uharibifu wa mazingira unaondelea katika maeneo hayo.
MWANAHABARI WETU HAFIDH ALLY AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………………..