Nuru FM

Ifahamu nuru fm kwa ufupi

26 January 2021, 11:40 am

Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa nuru fm imefanikiwa kuwafikia wasikilizaji zaidi ya milioni moja matarajio ya nuru fm ni kufika mikoa ya jirani ikiwemo Ruvuma,njombe,morogoro

Meneja nuru fm Victor chakudika