Makala fupi kuhusu bei za bidhaa katika kipindi cha Mwezi wa Ramadhani
Makala fupi kuhusu bei za bidhaa katika kipindi cha Mwezi wa Ramadhani
5 April 2023, 12:10 pm
Wafanyabiashara Manispaa ya Iringa wamesema kuwa bei ya bidhaa za vyakula katika kipindi kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani haijapanda ila kuna changamoto ya ukosefu wa wateja.