Nuru FM

Makala: Changamoto ya wanaume kupigwa na wake zao

22 May 2026, 12:07

Cover ya kipindi cha Wakati ni sasa kinachoruka hapa Nuru FM Radio. Na Chacha Robert

Makala hii inaelezea Matukio ya Ukatili dhidi ya wanaume jambo linalohatarisha ustawi wa familia.

Na Hafidh Ally na Joyce Buganda

Nuru FM imekuandalia makala hii maalum Kuangazia changamoto za ukatili wanazokutana nazo wanaume ikiwemo vipigo kutoka kwa wake zao na muda mwingine kunyimwa haki ya tendo la ndoa.