Radio Tadio

Kijamii

31 August 2026, 11:59

Wajawazito Kasulu watakiwa kutumia vizuri dawa za fefo, foliki

Matumizi foliki na fefo kwa kufuata maelekezo ya mtaalamu wa afya husaidia kulinda afya ya mama na mtoto na kupunguza baadhi ya hatari wakati wa ujauzito. Na Emmanuel Kamangu Wanawake wajawazito katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu wametakiwa kutumia vizuri dawa …

4 May 2026, 6:21 pm

Rocky: Wanaume acheni kukimbia majukumu yenu

“Wanawake waombeeni waume zenu” Na Anna Mhina Wanaume wametakiwa kurejea katika maadili mema na  kushirikiana na wenza katika kujenga familia imara yenye upendo, uwajibikaji, na mawasiliano mazuri ili kuweza kutengeneza familia bora. Wito huo umetolewa na mchungaji kiongozi wa kanisa…

29 April 2026, 16:25

Wahitimu ualimu waomba uboreshaji mitaala uendane na vifaa

Aidha wamedai kuwa endapo serikali ikizipatia shule vifaa hivyo vya kufundishia na kujifunzia kutaleta usawa wa Kielimu Kwa makundi yote. Na Steven Noel.Wahitimu wa Taalauma ya ualimu Katika chuo cha ualimu Mpwapwa wameiomba serikali kuwa uboreshaji wa mitaala uendane na…

17 April 2026, 12:25 am

Parokia mpya ya Mrara Jimbo Katoliki la Mbulu yazinduliwa

Mkuu wa wilaya ya Babati Mkoani Manyara Emanuela Kaganda amewaomba viongozi wa dini kuendelea  kuzuia mmomonyoko wa maadili katika jamii kwa mafundisho ya imani  pamoja na kuiombea nchi ya Tanzania ili amani na utulivu vizidi kutawala. Na George Augustino. Dc…

15 December 2025, 15:11

Uhaba wa walimu chanzo cha wanafunzi kukata tamaa Igandu

Kitendo Cha mwalimu mmoja kujigawa katika madarasa mengi inakuwa ngumu kuhakikisha kama wanafunzi wanaelewa kile wanacho fundishwa. Na Victor Chigwada. Uhaba wa  walimu  katika shule ya msingi Igandu umepelekea baadhi ya wanafunzi wanao maliza darasa la saba shuleni hapo kujiunga…

18 September 2025, 7:22 pm

UWT kusaka kura milioni 16 za Dkt. Samia

Zaidi ya wanawake 700,000 wamejiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Geita hali ambayo inawapa matumaini UWT Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeweka mkakati wa kutafuta kura milioni 16 kwa ajili ya mgombea…

3 February 2024, 4:31 pm

Kyela:Samia Mgeni rasmi maridhiano day Mbeya

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Samia Suluhu Hasan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya mamaridhiano day itkayofanyika machi 3 2024 mkoani Mbeya.Na Masoud Maulid Kuelekea siku ya maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika march 3.2024 kamati ya…

5 September 2023, 1:00 pm

Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.

Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo