Micheweni FM

Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.

5 September 2023, 1:00 pm

Wavuvi wakiwa kwenye harakati za kuvua samaki (picha kwa hisani ya mtandao)

Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu

Na Mwiaba Kombo