Micheweni FM
97.4 MHz
Micheweni - Kaskazini Pemba
+255 773 290 519 au +255 779 974 974
micheweniradio@gmail.com
97.4 MHz
Micheweni - Kaskazini Pemba
+255 773 290 519 au +255 779 974 974
micheweniradio@gmail.com
Mradi wa viungo ni mradi ambao umekuja kwa lengo la kumkomboa mwananchi kiuchumi kuondokana na hali ngumu ya maisha. Na Mwiaba Kombo Maafisa kilimo wameshauriwa kutoa taarifa kamili kuhusu udongo bora wenye kukidhi viwango kwa lengo la kuzalisha mazao bora…
6 November 2024, 12:50 pm
Soko la Konde ambalo lipo wilaya ya Micheweni ni miongoni mwa masoko ya kisasa ambayo yalijengwa kwa lengo la kuhakikisha wafanya biashara wadogo wadogo wanakwenda sokoni hapo kwa ajili ya kuendesha shughuli zao za biashara . Na Mwiaba Kombo Wafanyabiashara…
29 October 2024, 3:50 pm
Mkaguzi mkuu wa elimu Zanzibar Maimuna Fadhil Abas akizungumza na wakaguzi wa walimu wakati wa ufunguzi wa mafunzo huko kituo cha walimu (TC)Michakaeni chake chake Pemba (picha na Mwiaba Kombo) Taasisi ya kuboresha elimu Zanzibar lengo lake kubwa ni kuhakikisha…
19 October 2024, 3:43 pm
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, Dira ya Maendeleo ya Zanzibar na Mipango mikakati mbali mbali inaendelea kuwawekea mazingira wezeshi wananchi ya kuekeza katika kilimo chenye tija kwa chakula na biashara ambacho kitakuza …
11 October 2024, 11:21 am
Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar Mh Hemed Suleiman Abdalla akiwasili katika viwanja vya maonesho chamanangwe Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imeandaa mpango wa mageuzi ya sekta ya kilimo utakaobadilisha kilimo cha Zanzibar kutoka kilimo…
1 October 2024, 3:32 pm
Makamo mwenyekiti Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mbarouk Salim Mbarouk akifungua mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi katika ukumbi wa Makonyo Chake chake Pemba. Kabla ya kufika tarehe ya uteuzi wa wagombea tume ina wajibu wa kuboresha daftari…
2 September 2024, 1:40 pm
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa ng’ombe 153 wa kufugwa kisiwani Pemba ambayo itakuwa ni chachu ya kuwaletea maendeleo wananchi hao. Na Mwiaba Kombo Waziri wa kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Maliasili Zanzibar Shamata Shaame Khamis amewataka wafugaji hao…
21 May 2024, 10:12 am
Waandishi wa habari wanapaswa kuhakikisha kuwa habari zao zinawajibisha watendaji ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi na uadilifu ili kuleta matokeo chanya katika jamii. Na Mwiaba Kombo Waandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kuandika habari za michezo ambazo zitawafanya wanawake…
29 March 2024, 9:36 am
Skuli ya Minungwini ni baadhi ya skuli ambayo ipo katika wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba na ni miongoni mwa skuli ambazo zimejengwa kwa muda mrefu na miundombinu yake imechakaa. Na Zuhura Juma Wanafunzi 274 wa skuli ya msingi…
7 March 2024, 12:36 pm
IIT Madrasa ni chuo kikuu chenye kujitegemea kinachotoa kozi mbali mbali za Teknolojia ambapo ujio wake hapa hapa Zanzibar kitaweza kutangaza fursa nyingi na kuleta mabadiliko na mageuzi makubwa ya maendeleo kwa upande wa Zanzibar. Na Mwiaba Kombo WANAFUNZI kisiwani…
25 November 2023, 6:31 pm
Mamlaka ya Mapato Tanzania( TRA) ni shirika la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo lina wajibu wa kusimamia na kukusanya na kuhifadhi mapato yote kama ambavyo sheria zinasema na ni kwa niaba ya Serikali. Na Mwiaba Kombo Mkuu…