On air
Play internet radio

Recent posts

24 July 2024, 5:25 pm

Shule ya Sekondari Bihawana tunu ya kata ya Mbabala

Yussuph Hassan ameongea na Diwani wa kata ya Mbabala Mh Pascazia Charles Mawala ambapo anaielezea shule hii. Na Yussuph Hassan.Shule ya Sekondari Bihawana ni Shule ya bweni inayodahili wanafunzi wavulana wa Kidato cha Tano na Sita tu. Shule inatoa Elimu…

24 July 2024, 5:07 pm

Ukarabati shule ya msingi Michese wasaidia kupunguza utoro

Shule ya Msingi Michese ina zaidi ya wanafunzi 2000, walimu wakiwa ni 40 na madarasa 16 huku ikiwa na uhitaji wa madarasa 44 ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi. Na Mindi Joseph.Zaidi ya Shilingi Milioni 100 zimetumika katika Ukarabati wa Miundombinu…

24 July 2024, 4:40 pm

Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano polisi vitendo vya ukatili

Kanisa la Pentecostal Convent Faith lililopo Njedengwa Dodoma limesimika Viongozi mbalimbali wa Kanisa hilo ikiwemo Wachungaji zaidi ya watano na Wainjilisti. Na Yussuph Hassan.Wananchi Mkoani Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi dhidi ya vitendo vya ukatili ikiwemo matukio…

24 July 2024, 4:19 pm

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitokanazo na uchaguzi

Ni fursa zipi za kiuchumi ambazo vijana wanaziona katika chaguzi zijazo na zinazoweza kuwanufaisha. Na Fred Cheti.Vijana wameshauriwa kuzichangamkia fursa za kiuchumi kwa njia halali ambazo zitatokana na ujio wa chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu…

24 July 2024, 3:57 pm

Wanawake wanashindaje vikwazo na kuwania uongozi kisiasa?

Japo hivi sasa tunajikongoja licha bado juhudi zinahitajika ili usawa na sauti ya pamoja zisikike kwenye mabaraza ya Maamuzi kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji hadi kitaifa. Na Seleman Kodima.Ifahamike kuwa ulimwenguni Katika nchi 193 wanachama wa Umoja wa MAtaifa, ni nchi…

23 July 2024, 4:04 pm

Serikali yaombwa kuendelea kutoa elimu matumizi ya nishati safi

Umuhimu wa agenda  ya nishati safi unasukumwa na ongezeko la uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi pamoja na athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia. Na Mariam Kasawa. Wananchi wameiomba serikali iendelee kutoa elimu…

23 July 2024, 3:49 pm

Wazazi watakiwa kuwahimiza watoto kusoma

Hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa na viongozi wa kata ya Mkonze kuhakikisha watoto wanapofauli wanazingatia masomo. Na Mindi Joseph. Wazazi wametakiwa kujali misingi ya watoto kwa kuwahimiza kusoma na kuwalea katika mazingira ya kufanya vizuri katika taaluma. Hayo yamebainishwa na Diwani…

23 July 2024, 3:30 pm

Barabara ya Pembamoto na Mlali kupandishwa hadhi

Ameahidi kuunganisha wilaya ya jirani ya Gairo kupanda hadhi kutoka kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) kwenda kwa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) ili kuunganisha mikoa. Na Bernadetha Mwakilabi, KongwaMbunge wa Jimbo la Kongwa Mh. Joab…

23 July 2024, 3:09 pm

Kongwa yapongezwa utekelezaji wa miradi

Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Laikala ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa na matundu 8 katika shule ya sekondari Ibwaga ujenzi wa barabara ya lami nyepesi ya kilomita 0.4 ununuzi…