Dodoma FM

Uhuru wa matumizi ya kipato kwa wafanyakazi wa majumbani

29 November 2023, 3:43 pm

Baadhi ya wafanyakazi wa majumbani wamekuwa wakikosa uhuru wa kipato chao. Picha na UN news.

Na Mariam Matundu

Leo tunazungumzia wafanyakazi wa majumbani, wanawezaje kuwa huru na matumizi ya kipato chao

Mariam amefanya mazunguzo na katibu wa chama cha wafanyakazi za nyumbani Chodau mkoa wa Dodoma na Ameanza kumuuliza kwanini baadhi ya wafanyakazi hao wanakosa uhuru wa matumizi ya kipato chao.