Dodoma FM

Bei ya vitunguu maji yazidi kupanda  

12 July 2023, 2:45 pm

Vitunguu vikiwa vimepangwa sokoni kwaajili ya kuuzwa kwa wateja. Picha na Thadei Tesha.

Wastani wa bei ya vitunguu maji katika masoko mbalimbali ya jiji la Dodoma ni kati ya shilingi 10000 kwa ujazo wa sado moja na shilingi laki tatu na elfu ishirini kwa ujazo wa gunia moja.

Na Thadei Tesha.

Wakazi wa Dodoma wameshindwa kumudu gharama kubwa  ya bei ya vitunguu maji.

Kila mteja utakaemuuliza kuhusu vitunguu maji hakosi la kusema kufuatia kuendelea kuongezeka kwa bei kila uchwao

Na hawa ni baadhi ya wananchi wakizungumzia hilo.?

Sauti za Wananchi
Mfanyabiashara akizungumza na Dodoma Tv kuhusu bei ya vitunguu. Picha na Thadei Tesha.

Kupanda kwa bei ya vitunguu nini hasa kinachangia?

Dodoma TV imezungumza na Wafanyabiashara ya Vitunguu Maji katika soko kuu la Majengo

Sauti za Wauzaji wa vitunguu.