Dodoma FM

Vijana wajivunia elimu ya ufundi kutoka VETA

13 April 2023, 5:43 pm

Baadhi ya vijana wakitengeneza samani mbalimbali kupitia elimu na ujuzi walio upata kutoka Veta. Picha na Thadey Tesha.

Wapo vijana mbalimbali ambao wameweza kunufaika na uwepo wa elimu ya ufundi VETA ambapo imewasaidia kwa kiasi kikubwa katika kujiajiri.

Na Thadey Tesha

Baadhi ya vijana jijini Dodoma wamesema kuwa elimu ya ufundi stadi wanayoipata kutoka  VETA imekuwa msaada kwao katika kupata fursa ya kujiajiri pale wanapohitimu masomo yao.

Dodoma TV imefanya mahojiano na baadhi ya vijana jijini Dodoma ambapo walieleza jinsi elimu hii ya ufundi inavyo wasaidia katika kujiajiri na kujiingizia kipato.

Sauti za vijana
Kijana akizungumza faida za elimu ya ufundi .Picha na Thadey Tesha.

Kata  ya mlowa bwawani  ni moja kati ya kata ambapo kinajengwa chuo cha elimu ya usundi stadi VETA ili kuwasaidia vijana wa kata hiyo na maeneo ya jirani kupata elimu ya ujuzi mbalimbali.

Sauti ya Diwani