Dodoma FM

Jamii yaombwa kumsaidia mtoto Feisal

16 August 2021, 1:33 pm

Na; Mariam Matundu.

Jamii imeombwa kumsaidia mtoto faisal ambae amezaliwa na uleamvu kupata bima ya afya na mahitaji mengine muhimu kwa kuwa anaishi katika mazingira magumu.

Mtoto faisal anaishi na mama yake huku baba mzazi wa mtoto huyo hajulikani alipo,mwandishi wetu Mariam Matundu amefika nyumbani anapoishi mama huyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.