Dodoma FM

Jinsi jamii inavyopambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto

7 August 2023, 2:20 pm

Jamii nyingi zimekuwa zikimaliza kesi za ukatili kifamilia bila kufikisha kwenye vyombo vya sheria. Picha na UN news.

Familia zinaaswa kuacha kumaliza kesi hizi kifamilia kwani inakuwa haisadii mtu anae fanya vitendo hivi anaweza kufanya kwa mtu mwingine.

Na Leonard Mwacha.

Jamii inashauriwa kuacha kufumbia macho ukatili dhidi ya watoto hasa ukatili wa kingono kwani umekuwa ukiwaathiri zaidi wanaofanyiwa vitendo hivyo.