Dodoma FM

Ubovu wa mitaro wapelekea maji kutuama kwa wingi Kizota

29 February 2024, 4:06 pm

Picha ni Karavati ambali linashindwa kupitisha maji na kupelekea maji hayo kutuama kwa wingi. Picha na Noah Patrick.

Ni mtaro ambao ulitengenezwa pasipo kuzingatia vigezo vya ujenzi.

Na Mariam Kasawa.

Wakazi wa Mtaa wa Relini Kata ya kizota wamelalamika kutuama kwa maji ya mvua kutokana na ubovu wa mitaro ya kutiririsha maji.

Ni mtaro ambao ulitengenezwa pasipo kuzingatia vigezo vya ujenzi hali inayosababisha kutiririsha maji kwenye makazi ya wananchi.

Na hapa wananchi wanaeleza.

Video…………….Wananchi.

Maji hayo hujaa katika mitaro na katika makazi ya yatu hali ambayo ni kero kwa wananchi wa mtaa huo. Picha na Noah Patrick.

Tatizo hili limedumu kwa miaka miwili sasa licha ya mwenyekiti kufanya jitihada mbalimbali kwa kufika katika mamlaka husika lakini bado jitihada hizo ziligonga mwamba.

Huyu hapa mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Omary Bangababu akibainisha .

Video…………Mwenyekiti.