Dodoma FM

Ifahamu asili ya fimbo za machifu wa kabila la wagogo

16 April 2026, 4:28 pm

Picha ni aina ya fimbo waliyokuwa wanatumia machifu hao.Picha na Fahari ya Dodoma.

Hapa chifu Lazaro Chihoma toka Himaya ya Bwibwi anaielezea fimbo hiyo.

Na Yussuph Hassan.

Machifu wengi husasani wa kabila la wagogo walikuwa na utaratibu wa kutembea na fimbo mikononi mwao je asili ya fimbo hiyo ninini