Dodoma FM

Mila, desturi zachangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali

21 December 2023, 4:23 pm

Sheria zinasemaju juu ya mwanamke kumiliki mali .Picha na Times Majira.

Mila na desturi zimetajwa kuchangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali hali inayomrudisha nyuma kimaendeleo na kuchochea vitendo vya ukatili wa kijinsia .

Na Mariam Matundu.
Mariam Matundu amezungumza na mwanasheria kutoka Chama Chama Wanasheria Wanawake TAWLA Neema Ahmed ana anaanza kueleza sheria zinasemaju juu ya mwanamke kumiliki mali .