Dodoma FM

Fahamu ngoma ya kabila la wasandawe iliyochezwa wakati wa jando

25 June 2026, 17:56

Hapo awali kabila hili lilifanya sherehe za jando kwa aina mbili.Picha na Fahari ya Dodoma.

Wanasema kwasasa elimu na sheria imesaidia kwa kiasi kikubwa kukomesha mila ya ukeketaji haipo tena hivyo ngoma hii huchezwa kabla na baada ya watoto wa kiume kwenda jando.

Na Yussuph Hassan.
licha ya kabila hili kuwa na aimba mbalimbali za ngoma kabila hili lilikuwa na ngoma zilizo chezwa msimu wa mavuno na msimu wa jando .

Hapo awali kabila hili lilifanya sherehe za jando kwa aina mbili hasa msimu wa mavuno ambapo watoto wa kiume walipelekwa jando na wakike walikeketwa na ngoma hizi zilichezwa wakati huo.