Dodoma FM

Vilindoni shule kongwe yenye changamoto

6 September 2023, 3:06 pm

Picha ni kibao cha shule ya Msingi Vilindoni inayo patikana katika kata ya Mbabala Jijini Dodoma. Picha na George John.

Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa.

Na Yussuph Hassan.

Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii i moja kati ya shule za msingi kongwe Jijini Dodoma ilianzishwa mwaka 1975.